WESTHAM YASEMA IKO TAYARI KUMSAJILI FABREGAS BILA KUHUSISHA MSHAHARA WAKE

WESTHAM imesema iko tayari kumsajili kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas lakini suala la mshahara wa mchezaji huyo likabaki kuwa jukumu la Blues.

No comments