YAYA TOURE AKUBALI YAISHE KWA GUARDIOLA LAKINI SI KUMWOMBA RADHI


KIUNGO Yaya Toure amekubali yaishe kwa Pep Guardiola lakini wakala wa mchezaji huyo, Dimitri Seluk amesema kamwe hataomba radhi kwa kocha huyo Manchester City. 

No comments