ADAM LALLANA ATENGEWA PAUNI MIL 40 PARIS SAINT-GERMAIN


UONGOZI wa klabu ya Paris Saint-Germain umedai kuwa umetenga kitita cha pauni mil 40 kwa ajili ya kuwania saini ya nyota wa klabu ya Liverpool ambaye anacheza nafasi ya kiungo Adam Lallana. Klabu hiyo inataka kuweka mezani kitita cha pauni 200,000 kwa wiki.

No comments