ALEXIS SANCHEZ ASITISHA MAZUNGUMZO YA MKATABA MPYA ARSENAL

MASHABIKI wa klabu ya Arsenal wanaweza wasimuone mshambuliaji wao, Alexis Sanchez ndani ya kikosi hicho kuanzia Januari mwakani kutokana na mchezaji huyo kusitisha mazungumzo juu ya mkataba mpya.


Mchezaji huyo anatarajiwa kumaliza mkataba wake 2018.

No comments