ANGEL DI MARIA WA PSG KUTUA CHINA UHAMISHO WA JANUARI

MSHAMBULIAJI  wa pembeni wa klabu ya PSG, Angel Di Maria inadaiwa kwamba kuna uwezekano akajiunga na klabu za nchini China wakati wa uhamisho wa Januari mwakani.


klabu za nchini China zimepanga kusajli wachezaji wenye majina makubwa duniani.

No comments