ANTOINE GRIEZMANN ANUKIA MANCHESTER UNITED KWA DALILI


UONGOZI wa klabu ya Manchester United unaweza kufanikiwa kupata saini ya nyota wa klabu ya Atletico Madrid, Antoine Griezmann baada ya mshambuliaji huyo kuzitolea nje klabu kubwa kama vile Real Madrid na Paris Sain-Germain ambazo zilionyesha nia ya kumtaka.

No comments