ARJEN ROBBEN AJIPA MATUMAINI YA KUMWAGA WINO MPYA BAYERN MUNICH

WINGA wa Bayern Munich, Arjen Robben, 32, anaamini kwamba hayuko mbali na kuafikiana mkataba mpya na mabingwa hao wa Bundesliga, huku mwenyekiti Karl-Heinz Rummenigge akisema mkongwe huyo atabaki Bavaria.

No comments