ARJEN ROBBEN KUONGEZEWA MKATABA MPYA BAYERN MUNICH


MWENYEKITI wa klabu ya Bayern Munich, Karl - Heinz Rummenigge amedai kuwa klabu hiyo kwa sasa ipo katika mipango ya kutaka kumuongezea mkataba mchezaji wao Arjen Robben. Mabingwa hao wamepanga kutaka kumpa mchezai huyo mkataba wa mwaka mmoja.

No comments