ARSENAL, CHELSEA KUPIGWA BAO NA JUVENTUS VITA YA KUMWANIA CORENTIN TOLISO WA LYON


KLABU ya Juventus ya Italia huenda zikazipiga bao Arsenal na Chelsea za England katika vita ya kumnasa kiungo wa kimataifa wa Ufaransa anayecheza Lyon Corentin Toliso.

No comments