ARSENAL KUMTOA CHUBA AKPOM KWA MKOPO...Cardiff City Fulham na Brentford zadaiwa kumtaka

UONGOZI wa klabu ya Arsenal umedai kuwa unafanya mipango ya kutaka kumtoa mchezaji wao Chuba Akpom kwa mkopo mara baada ya mchezaji huyo kuwa nje ya uwanja kwa muda kutokana na kusumbuliwa na majeraha. Mchezaji huyo anadaiwa kutakiwa na Cardiff City Fulham na Brentford.

No comments