ARSENAL SASA IKO TAYARI "KUMFUNGA" ALEXIS SANCHES KWA KITITA CHA PAUNI 200,000 KWA WIKI

UONGOZI wa klabu ya Arsenal umesema upo tayari kuvunja benki kwa ajili ya kuweka mezani kitita cha pauni 200,000 kwa wiki ili kuweza kumfanya mchezaji wao, Alexis Sanchez aendelee kuwa hapo.


Awali aliwekewa kitita cha pauni 180,000 lakini alikataa kusaini.

No comments