ARSENAL WAGOMA KUMREJESHA JACK WILSHERE KUTOKA MKOPONI BOURNEMOUTH

ARSENAL hawatamrejesha Januari kiungo wao, Jack Wilshere, 24, aliyeko kwa mkopo Bournemouth licha ya taarifa mpya kwamba majeruhi Santi Cazorla atalazimika kuwa nje ya uwanja kwa miezi mitatu zaidi.

No comments