ARSENAL WENGER AMTETEA PEP GUARDIOLA KIPIGO CHA 4-2 DHIDI YA LEICESTER CITY


KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amemtetea mwenzake wa Manchester City, Pep Guardiola baada ya City kufungwa mabao 4-2 dhidi ya Leicester City katika mechi ya Ligi Kuu England hivi karibuni.

No comments