ARSENAL WENGER ASISITIZA "ALEX OXLADE CHAMBERLAIN NI WA HAPAHAPA ARSENAL TU"

KOCHA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amesisitiza kuwa nyota wake Alex Oxlade Chamberlain ataendelea kuwa ndani ya klabu hiyo bila kujali mkataba wake kutarajia kumalizika 2018, hivyo kwa sasa wanataka kukaa mezani kwa ajili ya kujadili mkataba mpya.

No comments