Habari

ARSENAL YAFANYIWA KITU MBAYA NA EVERTON LIGI KUU YA ENGLAND

on

ARSENAL imepoteza nafasi ya kwenda kukaa kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ya kukubali kichapo cha bao 2-1 kutoka kwa Everton.
Iliwachukua dakika 20 Arsenal kupata bao la kuongoza baada ya Alexis Sanchez kufunga kupitia free-kick iliyombabatiza Ashley Williams, lakini wenyeji wakasawazisha dakika ya 44 kupitia kwa Seamus Coleman.
Mambo yakazidi kwenda kombo kwa Arsenal baada ya sentahafu wa Everton Ashley Williams kufunga bao la ushindi dakika ya 86. 
EVERTON (4-1-4-1): Stekelenburg 6; Coleman 8, Williams 7, Jagielka 7, Baines 7; Gueye 7; Valencia 6.5 (Calvert-Lewin 79), McCarthy 7 (Funes Mori 90), Barkley 7, Lennon 6 (Mirallas 68, 6); Lukaku 7
 ARSENAL (4-2-3-1): Cech 6.5; Bellerin 6.5, Gabriel 6, Koscielny 6, Monreal 6; Xhaka 6, Coquelin 7.5 (Perez 88); Walcott 5.5 (Giroud 71, 6), Ozil 5.5, Oxlade-Chamberlain 6 (Iwobi 71, 6); Sanchez 7

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *