ARSENAL YAINGIA VITANI KUWANIA SAINI YA ISCO

UONGOZI wa klabu ya Arsenal umejiingiza vitani kwa ajili ya kuwania saini ya nyota wa klabu ya Real Madrid ambaye anacheza nafasi ya kiungo Isco.

Arsenal imedai kuwa inataka kumsjili mchezaji huyo Januari kutokana na kukosa namba ya kudumu ndani ya Madrid.

No comments