ARSENAL YAJIINGIZA VITANI KUMWANIA ISCO WA REAL MADRID

UONGOZI wa klabu ya Arsenal umejiingiza vitani kwa ajili ya kuwania saini ya nyota wa Real Madrid, Isco ambaye anacheza nafasi ya kiungo.


Arsenal imedai kuwa inataka kumsajili mchezaji huyo Januari kutokana na kukosa namba ya kudumu ndani ya Madrid.

No comments