ARSENAL YASEMA MAZUNGUMZO YA KUWAONGEZEA MKATABA OZIL, SANCHES YAELEKEA PAZURI


MAZUNGUMZO ya kuongezwa mikataba kwa wachezaji wa Arsenal, Mesut Ozil, 28, na Alexis Sanchez, 27, yanaendelea vizuri, kwa mujibu wa katibu mkuu wa Arsenal, David Miles.

No comments