ARSENE WENGER AANDAA PAUNI MIL 20 KWA AJILI YA KUMNASA CARLOS BACCA


KOCHA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger ameweka wazi kuwa anataka kuweka mezani kitita cha pauni mil 20 kwa ajili ya kuinasa saini ya mshambuliaji wa AC Milan, Carlos Bacca kwa ajili ya usajili wa Januari mwakani.

No comments