AUBAMEYANG WA BORUSSIA DORTMUND ASEMA HANA MPANGO WA KUJIUNGA NA REAL MADRID

NYOTA wa klabu ya Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang amefunguka na kusema kwamba kwa sasa hana mpango wa kutaka kujiunga na klabu ya Real Madrid, hivyo amedai kuwa ataendelea kuitumikia klabu yake hadi mwisho wa mkataba.

No comments