AUDIO: "SIWAGUNI WALA SIWAKOHOI" MOJA YA NYIMBO KALI ZA YAH TMK MODERN TAARAB ...uimbaji wake Fatma Mcharuko
Moja ya silaha kali za bendi mpya ya taarab ya Yah TMK Modern Taarab, ni huu wimbo “Siwaguni wala Siwakohoi” uliombwa na mwanadada Fatma Mcharuko. Usikilize hapo juu.

No comments