BALOTELLI ASEMA ASINGEKUWA MAJERUHI MSIMU MZIMA ANGEWEZA KUCHUANA NA MESSI, RONALDO TUZO YA BALLON D'OR

MSHAMBULIAJI wa Nice ya Ufaransa, Mario Balotelli amedai ingekuwa rahisi kwake kushindana na nyota wa Barcelona, Lionel Messi na Real Madrid, Cristiano Ronaldo kuwania tuzo ya Ballon d’Or kama asingekuwa majeruhi mwa msimu mzima. 

No comments