BARCELONA YATAFUTA MRITHI WA DANI ALVES ALIYESEPA JUVENTUS

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu nchini Hispania, Barcelona wameweka wazi kuwa wanatafuta mchezaji ambaye ataziba nafasi ya beki wao wa pembeni, Daniel Alves ambaye amejiunga na Juventus, hivyo wamedai kutaka kuzungumza na Shakhtar Donetsk kwa ajili ya beki wao, Darijo Srna.

No comments