BAYERN MUNICH KUMLAMBISHA MKATABA MPYA MSHAMBULIAJI FRANCK RIBERY

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu nchini Ujerumani, Bayern Munich wanatarajia kumalizana na nyota wao ambaye anacheza nafasi ya mshambuliaji wa pembeni, Franck Ribery kwa ajili ya kutaka kumpa mkataba mpya ambao utamfanya akae ndani ya klabu hiyo hadi mwaka 2018.

No comments