BOSI WA REAL MADRID ASEMA ANAAMINI KLABU YAKE INAONGOZA KWA MASHABIKI DUNIANI

BOSI mkuu wa Real Madrid, Frolentino Perez amesema kuwa anaamini klabu yake ya Los Blancos ndiyo inayoongoza duniani kwa kuwa na mashabiki wengi.

No comments