CHELSEA wamezidi kupaa kwenye Ligi Kuu ya England baada ya kuibanjua Crystal Palace 1-0 katika mchezo mkali uliopigwa kwenye dimba na  Selhurst Park. 

Bao pekee la vinara hao wa Ligi Kuu lilifungwa na mshambuliaji wao hatari Diego Costa kunako dakika ya 43 baada ya kuunganisha kwa kichwa krosi ya Cesar Azpilicueta.

USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac