CHELSEA KUMNG'OA ISCO REAL MADRID DIRISHA LA JANUARI

MATAJIRI wa Stanford Bridge wanavutiwa na kipaji cha staa wa Real Madri, Isco na wanataka kumsajili ifikapo Januari.


Isco ameshindwa kutema cheche zake tangu alipojiunga na Madrid akitokea Malaga mwaka 2013 na sasa kuna uwezekano mkubwa kuamua kutimka.

No comments