CHELSEA KUTUPA NDOANO KWA RADJA NAINGGOLAN WA AS ROMA

KLABU ya Chelsea inataka kujaribu bahati yao kwa kufanya mazungumzo na uongozi wa klabu ya AS Roma kwa ajili ya kuwania saini ya nyota wa klabu hiyo, Radja Nainggolan wakati wa usajili wa Januari. Mchezaji huyo atachukua nafasi ya Nemanja Matic ambaye anataka kuondoka.

No comments