CHELSEA YAJIPANGA KUANZA KUTETA NA JAMES RODRIGUEZ WA REAL MADRID

KLABU ya Chelsea imepanga kufanya mazungumzo na nyota wa klabu ya Real Madrid, James Rodriguez kwa ajili ya kumsajili wakati wa Januari.


Wakati huo Madrid wamedai wako tayari kumuacha mchezaji huyo kwa kitita cha pauni mil 75.

No comments