CHELSEA YAJIPANGA KUANZA KUTETA NA JAMES RODRIGUEZ KWA AJILI YA USAJILI WA JANUARI

KLABU ya Chelsea imepanga kufanya mazungumzo na nyota wa klabu ya Real Madrid, James Rodriguez kwa ajili ya kumsajili wakati wa Januari.

Wakati huohuo, Madrid wamedai wapo tayari kumuacha mchezaji huyo kwa kitita cha pauni milioni 75.

No comments