KLABU ya Chelsea inataka kujaribu bahati yao kwa kufanya mazungumzo na uongozi wa klabu ya AS Roma kwa ajili ya kuwania saini ya nyota wa klabu hiyo Radja Nainggolan wakati wa usajili wa Januari mchezaji huyo atachukua nafasi ya Nemanja Matic ambaye asnataka kuondoka.


USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac