CRISTIANO RONALDO AJIPA LIKIZO YA KRISMASI HADI DESEMBA 27

CRISTIANO Ronaldo ameiongoza Real Madrid kutwaa taji la Ligi ya mabingwa Ulaya, kadhalika timu ya taifa Ureno kutwaa Euro 2016 na sasa ana mpango wa kupumzika kwa muda hadi Desemba 27 atakaporejea kwa ajili ya mazoezi.

No comments