CRYSTAL PALACE YAMTIMUA KOCHA ALAN PARDEW


Crystal Palace inasaka kocha mpya baada ya kumtimua  Alan Pardew. 

Pardew mwenye umri wa miaka 55, ameondolewa Selhurst Park baada ya kudumu kwa takriban  miaka miwili ambapo msimu uliopita aliiweka timu katika nafasi ya 17 kwenye Premier League, pointi mja juu ya janga la kushuka daraja.

Sam Allardyce anatajwa kuwa kwenye nafasi kubwa ya kurithi nafasi ya Pardew.

No comments