DAVID MOYES ASEMA MANCHESTER UNITED "IMEPOTEZA" UTAMADUNI WAKE WA MUDA MREFU

KOCHA wa Sunderland, David Moyes amesema klabu ya Manchester United imepoteza utamaduni wake wa muda mrefu wa kuajili makocha kutoka England na matumizi madogo ya fedha za usajili wa wachezaji.

No comments