EVERTON, WEST BROM ZATENGA PAUNI MIL 20 KWA AJILI YA KIUNGO MORGAN SCHNEIDERLIN WA MAN UNITED

EVERTON na West Brom wanaandaa ofa ya pauni mil 20 kwa ajili ya kutaka kumsajili kiungo wa Manchester United, Morgan Schneiderlin ambaye amepoteza nafasi Old Trafford na huenda akatimka Januari.

No comments