FERNERBAHCE KUIVAA ARSENAL VITA YA KUMWANIA HATEM BEN ARFA


KLABU ya Fenerbahce imedai kuwa ipo tayari kupambana na klabu ya Arsenal kwa ajili ya kuwania saini ya nyota wa klabu ya PSG, Hatem Ben Arfa kwa ajili ya usajili wa Januari mwakani. Hadi sasa mchezai huyo amecheza jumla ya dakika 387 msimu mzima ndani ya PSG. 

No comments