GERARD PIQUE "ALIPUUZA" UZITO WA MECHI YA CLASICO NA KUONYESHA "MAHABA NIUE" KWA MPENZIWE SHAKIRA

LICHA ya kukabiliwa na mechi ngumu ya Clasico, Gerard Pique Alhamisi usiku aliambatana na mwandani wake, Shakira kumpa sapoti alipokwenda kupokea tuzo yake ya msanii wa Latino mwenye mafanikio zaidi katika hafla ya Los 40 Music Awards.

No comments