GIGY MONEY ASEMA YUKO TAYARI KUSHIRIKI VIDEO ZA CHIPUKIZI KWA SH MIL 1

VIDEO Queen Gigy Money ameweka wazi kuwa yupo tayari kushiriki kwenye video za nyimbo za wasanii wanaochipukia kwa gharama ya sh. Mil 1 kwa kila video.

“Wasanii wanaochipukia wananisumbua sana wengi wanaamini nikishiriki kwenye video zao watatoboa,” amesema.

Binafsi nashukuru kwa yote ni biashara wakija ni sh. mil 1 nashiriki kwenye video kwa sababu ni wengi na bado kwa bei hiyo kuna baadhi yao nawachinjia baharini kwa sababu siwezi kutokea kwenye kila video,” alisema.


Kimwana huyo mshindi wa tuzo ya video Vixen Bora katika tuzo za Instagram aliuambia mtandao wa kijamii kuwa kwa sasa yeye ndiye video Quee na mnbaye anafanya kazi nyingi za kulipwa nchini, ndiyo anachangamkiwa na wasanii wengi.

No comments