GOFFREY KONDOGBIA AWEKA WAZI NIA YAKE YA KUSEPA INTER MILAN DIRISHA LA JANUARI

NYOTA wa klabu ya Inter Milan Goffrey Kondogbia, ameweka wazi kuwa anataka kuondoka ndani ya klabu hiyo wakati wa usajili wa Januari.


Kutokana na hali hiyo, klabu ya Liverpool imeweka wazi kuwa inataka kufanya mazungumzo na nyota huyo kwa ajili ya kumsajili.

No comments