GUARDIOLA AKANUSHA MAN CITY KUFANYA MAZUNGUMZO NA NYOTA WA SOUTHAMPTON

KOCHA wa klabu ya Man City, Pep Guardiola amekanusha uvumi wa kwamba klabu hiyo inafanya mazungumzo na nyota wa klabu ya Southampton, Virgil Van Dijk ili kumsajili wakati wa Januari.


Mchezaji huyo amedai kutaka kuondoka Southampton.

No comments