GUARDIOLA ASEMA RAHEEM STERLING BADO ANA NAFASI YA KUTIKISA NYAVU MARA NYINGI NDANI YA MAN CITY

RAHEEM Sterling bado ana nafasi ya kufunga mabao mengi zaidi akiwa na kikosi cha Manchester City, kwa mujibu wa kocha Pep Guardiola.

No comments