GUARDIOLA ATENGA MIL 25 KWA AJILI YA KUMNG'OA ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN ARSENAL

KOCHA wa klabu ya Manchester City, Pep Guardiola amedai yupo tayari kuweka mezani pauni mil 25 kwa ajili ya kuwania saini ya nyota wa Arsenal ambaye anacheza nafasi ya kiungo, Alex Oxlade-Chamberlain.


Mchezaji huyo mkataba wake unamalizika 2018.

No comments