GUARDIOLA: NAMWESHIMU RONALDO ILA MESSI NI HABARI NYINGINE DIMBANI


KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola (pichani) amesema anamweshimu Cristiano Ronaldo lakini pamoja na hilo, mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi ni habari nyingine kwenye suala la “nani zaidi.”

No comments