HATIMAYE JULIAN DRAXLER ALIYEKUWA AKIWANIWA NA ARSENAL ASAINI MIAKA MINNE PSG


HATIMAYE Julian Draxler (pichani kushoto) aliyekuwa akiwaniwa na Arsenal, amekamilisha usajili wake wa kujiunga na Paris Saint-Germain kutoka Wolfsburg.

Nyota huyo wa kimataifa wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 23 amesaini mkataba wa miaka minne na nusu kwa mabingwa hao wa Ufaransa na kupewa jezi namba 23.No comments