HENRIKH MKHITARYAN ASIFU BAO ALILOFUNGA DHIDI YA SUNDERLAND

STRAIKA wa Man United, Henrikh Mkhitaryan amesema bao tamu alilofunga katika mechi ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Sunderland ndilo zuri kuwahi kulifunga katika maisha yake yote ya kucheza soka.

No comments