MANCHESTER UNITED imeendelea kutakata katika Ligi Kuu ya England baada ya kuichapa Crystal Palace 2-1 kwa mabao yaliyokuja ukingoni mwa kila kipindi.

Mwanasoka ghali duniani Paul Pobga aliifungia United bao la kuongoza dakika ya 45 lakini James McArthur akasawazisha dakika ya 66 kabla ya Zlatan Ibrahimovic hajaipa kikosi cha Jose Mourinho bao la ushindi dakika ya 88.

Crystal Palace (4-3-3): Hennessy 5.5, Kelly , Dann 6, Delaney 6, Ward 6; Flamini 4.5 (Ledley 45 6), McArthur 7, Cabaye 6; Chung-Yong 5, Benteke 6, Zaha 6

Manchester United (4-2-3-1): De Gea 7, Bailly 6.5 (Darmian 52, 6), Jones 6, Rojo 5, Blind 6; Carrick 6, Herrera 6; Mata 5.5, Pogba 6, Rooney 5.5; Ibrahimovic 6
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac