JACQUELINE WOLPER: SIJISIFU MI MREMBO WEWE

KIMWANA wa Bongomuvi Jacqueline Wolper ataendelea kupendeza hata bila ya kujilemba sana kwa vile ndivyo Mungu alivyomuumba akiwa mrembo mwenye mvuto mkali.

“Sio kwamba ninajisifia ukweli ni kwamba mimi na mrembo na nitaendelea kuwa mrembo kwani ndiyo nilivyojaaliwa na mwenyezi mungu kwani hata bila kujirewmba ninapendeza,” alisema Wolper.


Mbali na hilo alisema kuwa yeye pia ni miongoni mwa wasanii wanaofuatilia na mashabiki wengi kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kipaji chake cha kuigiza ingawa kwa sasa amejikita zaidi katikas biashara.

"Hata kama sijaonekana kwenye filamu kwa muda bado jina langu ni kubwa na litaendelea kuwa na mvutokwani ndivyo ambavyo Mungu ameniumba mengi," alisema.

No comments