JAHAZI KUSINDIKIZA MTANANGE WA DARASA NA ROMA DAR LIVE


Jahazi Modern Taarab leo usiku itasindikiza onyesho kubwa la wakali wa Hip Hip, Roma Mkatoliki na Darasa.

Miamba hiyo inakutana kwenye ukumbi wa Dar Live Mbagala ambapo Jahazi watatumia fursa hiyo kutambulisha nyimbo zao mpya kabisa.

No comments