JOHN MIKEL OBI AANZA MAZUNGUMZO NA SHANGHAI SIPG, AL-AIN

KIUNGO wa Chelsea, John Mikel Obi, 29, ameamua kukubali yaishe kuliko kuendelea kusugua benchi, akidaiwa kuanza mazungumzo na klabu inayocheza Ligi Kuu China, Shanghai SIPG na ile ya Falme za Kiarabu Al-Ain.

No comments