JOHN TERRY APASUA KUWA CHELEA HAINA MPANGO WA KUMWONGEZEA MKATABA BAADA YA HUU WA SASA


NAHODHA John Terry, 36, ametonya kuwa klabu yake ya Chelsea haina mpango wa kumwongezea mkataba mwingine mara ule wa sasa utakapofikia tamati.

No comments